Ma HR jamani....

Asilimia 95 ya the so called "wanawake wa maofisini" regardless ana cheo gani wanafanya ngono na wafanyakazi wenzao wa kiume... Kwahiyo CTU, piga moyo konde, maisha ndivyo yalivyo...

Source: Mimi mwenyewe - baada ya kuafanya utafiti wa miaka 20!

Ni kweli. Hakuna watu wanaoongoza kwa kuchapana kama wafanyakazi wa maofisini!
 
kwanza pole sana

pili kumegwa ni uamuzi wa mtu, wangapi tuna kazi nzuri hatujawahi kumegwa kuanzia mashuleni hadi kwenye ajira na vyeo tunapanda?
mwanamke anayekubali kumegwa 1. amemtamani hr 2. hajithamini utu wake 3. hajiamini 4.amezoea kugawa ili apate favour fulani

wangapi wana shida ya ajira lakini hawamegwi?

offtopic: najua kipindi cha kutafuta kazi ni kigumu je ulikuwa unampa sapoti KIMEO?
ulijuaje kuwa hr kamtafuna?
 

Hiko kimeo hakina mapenzi ya dhati na wewe, kisingekubali kudhalilika na kukudhalilisha wewe kwa sababu ya kazi .....
 


Tutajuaje..πŸ˜‰
 
Hiko kimeo hakina mapenzi ya dhati na wewe, kisingekubali kudhalilika na kukudhalilisha wewe kwa sababu ya kazi .....

Msiwalaumu wadada jamani

Ajira zimekuwa ngumu ,unakuta mdada alimaliza chuo mwaka 2006 hii 2012 anahaingaika tu hapati kazi ,kutopata kazi kunamfanya hata wanaume hapati kwa kuwa anaonekana amechoka anashindwa kuji maintain.Sasa afanyaje na yeye alikuja DSM kusoma na toka wakati huo anaunga unga kwa ndugu , ndugu wenyewe wamemchoka wanataka aondoke hata leo arudi kwao kijijini akaendeleze kilimo kwanza.
 

Wewe dada una akili sana. Would mind if I take you out for a dinner date tonight? πŸ™‚
 

hahahahah
poleee
 

hata wanaume hawakuwekewa mb**kwa matumiz yao? Unatok on bhalf ov sex, wot bout othr stuf kama kukojoa? Na2mia ya nani? Si pia ni matumiz yangu.
 

Si kinataka kazi nzuri? Lazima kikaguliwe ndipo kipate
 
Wewe dada una akili sana. Would mind if I take you out for a dinner date tonight? πŸ™‚

loh. . . . Yashakua hayo?! Halafu haya mambo ya madina date haya ya kidhungu wengine hatuyawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…