kuwa she ni tatizo?
Wapi ambapo hujailewa mkuu?
Hiko kimeo hakina mapenzi ya dhati na wewe, kisingekubali kudhalilika na kukudhalilisha wewe kwa sababu ya kazi .....
Kumbe ww ni she!!! Hapo juu unamaanisha nn?? yaliyomo yamo au?
hapo ndipo ninapoipendea JF - sometimes huwezi jua mtu unayejibizana naye ni gender gani, whether ni kijana, mzee, bosi, mchapa lapa, muuza sura, pori etc... it all adds fun to the whole damn thing