Waache waringe si wamesoma hahaha
Mimi nahisi shida Haipo kwa Hao HR shida ni sisi wenyewe mara nyingi kila mtu ana kaubinafsi chake na Dharau juu Hivyo Unavyokuwa mbele ya mtu unataman mtu ajue status Yako.Yani ukienda manispaa mpaka uhudumiwe unakua umepitia mengi sana. Leo nmeenda manispaa ya temeke yani unaslimia mtu kwa kumwangalia amekula chumvi nyingi sana lakini hataki shikamoo anataka mambo yan hawakusikilizi kwa wakati wanajivuta vuta.
Sasa nikaelekezwa kwa HR ni kijana ila anakera anjivuta sana mara apumzike mwishoni ndo anakupa jibu.
Wewe ushawahi kukutana na dhahma kama hii?
Hao ndiyo walivyo karibu HALMASHAURI nyingi SABABU wanapenda ukiritimba Sana kwenye maswala ya kuwatumikia wananzengo.Pia huwa wanadharau mno.Hawaja kidhi vigezo vya hiyo nafasi waliyonayo.Maana lazima uwe msikivu KIONGOZI.😂😂Tena huwa wameweka kwenye notes board andiko la sifa za KIONGOZI bora lakini wao hawana politeYani ukienda manispaa mpaka uhudumiwe unakua umepitia mengi sana. Leo nmeenda manispaa ya temeke yani unaslimia mtu kwa kumwangalia amekula chumvi nyingi sana lakini hataki shikamoo anataka mambo yan hawakusikilizi kwa wakati wanajivuta vuta.
Sasa nikaelekezwa kwa HR ni kijana ila anakera anjivuta sana mara apumzike mwishoni ndo anakupa jibu.
Wewe ushawahi kukutana na dhahma kama hii?