.........
Hivi hawa watu wanapata wapi huu muda? Yaani unafunga safari all the way kuja kumpokea mtu mmoja, tena muda wa kazi? Bado tuna safari ndefu sana!
Mbona msafara wa kikwete unabeba watu zaidi 50 kumsindikiza tu kwenda shambani kwake kucheki mahindi...kwani na hao hawana makwao au kazi za maana za kufanya?
Hii nchi ndo tulivyo, vitu visivyo vya maana tunavipa muda na vya maana tunapiga domo kazi hatafanyi