Ma kiswahili(isimu)

Tenths

Senior Member
Joined
Mar 2, 2010
Posts
111
Reaction score
45
Mimi ni graduate wa MA Kisw toka chuo kikuu cha DSM mwenye fununu na kazi inayonihusu anitaarifu kupitia jamvi hili.
 
Duh!cjawahi kuona tangazo la kazi ambalo linataka watu wenye fani yako.
 
Mimi ni graduate wa MA Kisw toka chuo kikuu cha DSM mwenye fununu na kazi inayonihusu anitaarifu kupitia jamvi hili.

Hapa kazini wako watatu wana hyo kitu!!!...... Hivi mnapoenda kusoma lengo lenu nn??????
 
Kashike chaki kuna shule nyingi za Advance zina michepuo yenye somo la kiswahili kama HKL, KLF,HGK huko unaweza pata soko la kujimwaga na hiyo MA in Kisw.
 
Kashike chaki kuna shule nyingi za Advance zina michepuo yenye somo la kiswahili kama HKL, KLF,HGK huko unaweza pata soko la kujimwaga na hiyo MA in Kisw.

yani hyo ni sehemu yake haswa,ILAZO KOZ NI KWA WALE WANAOBAKI vyu0ni
 
Mimi ni graduate wa MA Kisw toka chuo kikuu cha DSM mwenye fununu na kazi inayonihusu anitaarifu kupitia jamvi hili.
nakushauri na naamini kwa asilimia 80 utapata jaribu kuomba kazi ya u'assistant lecturer kwenye vyuo vya St Augustine university iwe mwanza
au colleges za mtwara, iringa, moro, bukoba, songea, tabora au moshi. kote huko course yenye wanafunzi wengi ni (B A Educ) ambapo kiswahili ni moja ya majoring subject.
 
Njoo saut tabora wanahitaji mtu mwenye masters ya kiswahili fanya hima matafute DP AD Fr Ndasi
 
Umemshauri vizuri sana! Ahsante kwa kumtia moyo ndugu yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…