Ma Producer hawa wamepotelea wapi..?

Unawadai?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umesema vema mkuu ,zamani kweli biti zilikuwa nzuri hadi unafeel, kuna nyimbo zilikuwa zinatoka unaona msanii hakuna kitu ila biti inambeba.
Yaa, kama bit za mika mwamba au p funk mahali, zilikuwa nzuri,
 
Hao wote ni wahanga wa teknolojia.

Software za siku hizi zinafanya kila kitu zenyewe tofauti na miaka ya nyuma.

Kuna clip nyingi YouTube zinafundisha namna ya ku mix beat na vocal.

Hata wewe unaweza kuwa Producer hata kesho.

Kikubwa ni Promotion. Namna gani unaweza kuipromote nyimbo iliyotengeneza iingia top10.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…