Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Sina kawaida ya kuchukia hovyo.
Umbea tume waachie wao kwa sasa
Eti wanasema ni wanaume wa DarYaani zamani ilikuwa ukisikia sauti ya dume unajipanga sawasawa lakini siku hizi sasa tunagombea nao lipsticks, mavazi na ubuyu
@kapeace ni wewe mama, najuta kuwa ziarani dar,miaka hiyoJingine hiloView attachment 1081946
Eti wanasema ni wanaume wa Dar
Fanya kurewind@kapeace ni wewe mama, najuta kuwa ziarani dar,miaka hiyo
Tukutane PM tafadhari hata nauli nitalipaFanya kurewind
Tukutane PM tafadhari hata nauli nitalipa
Ninajua namna ya kujificha wewe kubali tuHuko pm kuna ulinzi kama wa magu, ahirisha tu
unatumia niniSitumii