Ma_tete_kuwanga *chicken_pox*

Kel.G

Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
34
Reaction score
6
WanaJF Naomba kufahamu TIBA ya ugonjwa huu unanisumbua sana

Thankx!
 
Chicken pox haiwezi kukusumuwa. Huo ni ugonjwa wa mlipuko. Huwezi kuuguwa peke yako. Labda una harpes zoster. Mara nyingine una kuja kama tete kuwanga. Ukiwaacha muda mrefu bila ya matibabu au kupona wenyewe yaweza kuwa dalili za kinga ya mwili kuwa dhaifu.

Kwanza kapime status. Huko huko watakupatia tiba ya tete kuwanga.
 

thanx! nmechomwa sindano. Lakini kinacho ni sumbua zaidi ni maumivu, yanavyo zidikutoka yananiuma mwili mzima. So ni dawa gani ya maumivu niitumie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…