Njaa kali30
Member
- Jul 18, 2021
- 47
- 28
Mkoa wa Songwe ni mojawapo ya mikoa inayopatikana kusini mwa Tanzania. Moa huu ulipatikana baada ya kugawanywa mkoa wa wa mbeya. Maaajabu ya mkoa ni kuwana miundo mibovu ya barabara. Mfano barabara inayotoka Mbalizi kwenda Mkwajuni wakati wa masika huwa haipitiki kabisa kutokana na madaraja kufulika na pia kujaaa maji bivyo kusababisha miundo mbinu kuwa mibovu na kusababisha adha kwa wananchi.
Serikali imetoa ikitoa pesa nyingi kwa ajili ujenzi wa barabara lakini kinachofanyika nikukarabati fasta na juu ili mwaka mwingine tena wakarabati.Hii inaifanya serikali kutumia pesa nyingi kwa ajili ya ukarabati. Naweza kutolea mfano mdogo kwenye ujenzi wa zahanati katika mawilaya na mashule. Mfano katika ujenzi nyingi zimejegwa chini ya kiwango kwa sababu ya upigaji uliokithiri. Mfano katika halmashauri ya wilaya ya songwe pesa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa, ofisi na maabara katika mashule zimeingizwa kwenye akauti ya wakuu wa shule na walimu wakuu.
Hivyo kuwafanya wenyewe ndio wanunuzi wa vifaaa vya ujenzi , wenyewe ndio watafuta mafundi wajenzi, wenyewe ndio wasimamizi ikumbukwe shule nyingi hazina bodi ya shule na kusababisha miradi hiyo kuwa chini ya kiwango. Ikumbukwe kila mtu anatamaa ya pesa wengi wao huishia kula hizi pesa husema hata mambo yakibalaluka hawana la kunifanya dhidi ya kunihamisha. Nimeshuhudia kwa macho yangu mtu anapewa pesa ya ujenzi 180m kwa ajili ya ujenzi wa bwalo la chakula akila zaidi ya 100m yeye pamoja na wakaguzi wake akaishia kuhamishwa kituo (rose) na haya ni makosa ambayao yanafanyika sana katika mkoa wetu wa Songwe mfano katika wilaya moja ya songwe kuna ujenzi wa zahanati na muhusika keshaingiziwa zaidi ya 40m sasa hivi yuko busy kutafuta mafundi na anasema hataki mainjinia wa halmashauri kwa sababu watamuwekea uzibe,mafundi yeye ununuzi wa vifaaa yeye, Sasa kama mkoa hatuwezi fika popote kama tukiendelea kuwachekea watu hawa wenye tamaaa zoa, Nimewahi kufika kwenye ukaguzi wa miradi nilioyaona yanatia kinyaaa sio ya kusimulia.
My take: serikali ingalie mkoa huu kwajicho la pekeee ni mkoa ambao unapata fedha nyingi kutoka serkalini lakini mwisho wa siku huishia matumboni kwa watu. Ombi kwa wakurugenzi wapya walioteuliwa waingie field wasikae maofisini hasa wilaya mpyaya songwe kuna upigaji mkubwa unaendelea kw a kwa baadhi ya watendaji wasio waaadilifu. Tamisemi ummy mwalimu pita huku ujioneee wezi wanavyotafuna pesa za umma