Maabara kuu nchini Tz ilikuwa na mashine mbovu ya kupima sampuli, ilikosa wataalamu wa kutosha na wasimamizi walikuwa watepetevu- Waziri Ummy Mwalimu

Maabara kuu nchini Tz ilikuwa na mashine mbovu ya kupima sampuli, ilikosa wataalamu wa kutosha na wasimamizi walikuwa watepetevu- Waziri Ummy Mwalimu

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Hii ni kwa wale majirani wetu ambao walikata kata mipapai yao, baada ya kutangaziwa kwamba mapapai yana Corona. Maabara kuu nchini Tz, Dar, imeumbuliwa baada ya uchunguzi kutoka kwa timu ya watu 10, ambayo iliteuliwa na waziri wa afya nchini Tz, Ummy Mwalimu. Uchunguzi wao ulibaini kwamba maabara ilikuwa na mashine mbovu, ambayo haikufanyiwa 'repair' kabla ya kuanza kupima sampuli zilizoshukiwa kuwa na virusi vya COVID-19.

Zaidi ya hayo ilifichuliwa kwamba maabara hiyo haikuwa na wataalamu wa kutosha wa Biotechnology na Molecular Biology na kwamba wasimamizi walizembea kwenye kazi yao. Jambo ambalo lilihujumu shughuli ya upimaji wa sampuli.

Hili ni funzo kubwa kwa majirani, kwamba ni muhimu zaidi kujitizama kwanza, kabla ya kuitangazia dunia yote kuhusu utepetevu wenu. Tena kwa visingizo vya ajabu(propaganda na conspiracies) kwamba kuna njama za kuwahujumu, eti sijui kutoka kwa 'mabeberu'.

======

Investigations into Tanzania’s national health laboratory show several shortcomings, including a faulty machine for testing samples of Covid-19, a senior official has revealed.

The national health laboratory housed in the National Institute of Medical Research (NIMR) in Dar es Salaam did not repair a faulty machine, said Health Minister Ummy Mwalimu in a statement.

Ms Mwalimu (pictured) made the revelation when she announced investigation results released by a 10-member team she had appointed on May 4 to probe the collection of Covid-19 samples at the laboratory.

She said other shortcomings identified by the probe team included lack of technical supervision for testing of Covid-19 samples, poor quality assurance of results and poor storage of tested samples for Covid-19.

Mwalimu added that the probe team also revealed that the laboratory established in 1968 was facing shortage of professionals in biotechnology and molecular biology, according to the statement.

Following the release of the investigative report, said Mwalimu, the Ministry of Health has moved the testing of Covid-19 samples to a newly built national health laboratory equipped with state-of-the-art facilities at Mabibo area, also in Dar es Salaam.

“The new national health laboratory has a capacity to test 1,800 Covid-19 samples within 24 hours compared to the old laboratory at NIMR that tested 300 samples within 24 hours,” said Mwalimu.

She said the new national health laboratory whose construction was completed recently has been equipped with high-tech facilities manned by competent laboratory professionals.

On May 4, Mwalimu named the 10-member probe team headed by Eligius Lyamuya of the Muhimbili University of Health and Apllied Sciences to investigate the collection of Covid-19 samples at the laboratory.

She also suspended the director of the national health laboratory, Nyambura Moremi, and the quality assurance manager Jacob Lusekelo over allegedly questionable Covid-19 test results.

The suspension of the two officials followed concerns raised by President John Magufuli about the accuracy of Covid-19 test results released by the national health laboratory.

Meanwhile, Tanzania and Kenya have resolved a dispute over Covid-19 tests for truck drivers crossing the border, facilitating trade between the two East African countries.

The dispute, which had been ongoing for quite some time, was resolved by ministers responsible for transport from the two countries at the end of their one-day meeting at the Namanga border post, said a communique released at the end of the meeting.

The meeting followed a directive last week by presidents of Tanzania and Kenya to ministers responsible for transport and commissioners of border regions to resolve the dispute to facilitate trade between the two countries.

The ministers agreed that truck drivers from both sides will be tested for Covid-19 before commencement of their journeys.

Source: The Standard
 
Tanzania seriously! Whatever went wrong in this dead state.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo ndio vitu ambavyo huwa wanatuhubiria humu kila siku kwamba tuige. Umeona huo uzembe zaidi uliotajwa? Eti vitu simpo kama 'storage of samples and quality assuarance of results' ni kizungumkuti pia kwenye maabara kuu ya taifa nzima! Alafu utawaona wakiwakashifu majirani zao kama Kenya kuhusu juhudi zao za kupambana na maambukizi ya virusi vya COVID-19.
 
Jambo kama hili lingetokea Japan au South Korea waziri angekua ashafukuzwa au wananchi wamemlazimisha aachie ngazi.

Goes to show tofauti ya people’s mentality nchi zilizoendelea na nchi za masikini.

Kama waziri alikua wapi kutolitambua hilo, this is pure propaganda wameona watafute chochote ili mradi wamfurahishe mtukufu hata kama machine haina hitilafu yoyote. Tanzania mnalishwa ujinga daily alafu mnashangilia. Anyway I don’t expect anything better kwa nchi ambayo the majority ni washamba, jiwe mwenyewe mshamba.
 
Nasikia na wamarekani wana escape hukooo.

Sent from my TECNO-J5 using Tapatalk
 
Hii ni kwa wale majirani wetu ambao walikata kata mipapai yao, baada ya kutangaziwa kwamba mapapai yana Corona. Maabara kuu nchini Tz, Dar, imeumbuliwa baada ya uchunguzi kutoka kwa timu ya watu 10, ambayo iliteuliwa na waziri wa afya nchini Tz, Ummy Mwalimu. Uchunguzi wao ulibaini kwamba maabara ilikuwa na mashine mbovu, ambayo haikufanyiwa 'repair' kabla ya kuanza kupima sampuli zilizoshukiwa kuwa na virusi vya COVID-19.

Zaidi ya hayo ilifichuliwa kwamba maabara hiyo haikuwa na wataalamu wa kutosha wa Biotechnology na Molecular Biology na kwamba wasimamizi walizembea kwenye kazi yao. Jambo ambalo lilihujumu shughuli ya upimaji wa sampuli. Hili ni funzo kubwa kwa majirani, kwamba ni muhimu zaidi kujitizama kwanza, kabla ya kuitangazia dunia yote kuhusu utepetevu wenu. Tena kwa visingizo vya ajabu(propaganda na conspiracies) kwamba kuna njama za kuwahujumu, eti sijui kutoka kwa 'mabeberu'. Tanzania laboratory for testing Covid-19 faulty, minister says

Kwa maana hiyo, taarifa zilizokuwa zinatangazwa na Waziri kuhusu hali ya gonjwa hiki nchini zote zilikuwa feki. Nchi haijui hali halisi ya gonjwa hili nchini. Tumebaki kusisitiza maombi na nyungu! Taifa la ajabu kabisa hili.
 
Hii ni kwa wale majirani wetu ambao walikata kata mipapai yao, baada ya kutangaziwa kwamba mapapai yana Corona. Maabara kuu nchini Tz, Dar, imeumbuliwa baada ya uchunguzi kutoka kwa timu ya watu 10, ambayo iliteuliwa na waziri wa afya nchini Tz, Ummy Mwalimu. Uchunguzi wao ulibaini kwamba maabara ilikuwa na mashine mbovu, ambayo haikufanyiwa 'repair' kabla ya kuanza kupima sampuli zilizoshukiwa kuwa na virusi vya COVID-19. Zaidi ya hayo ilifichuliwa kwamba maabara hiyo haikuwa na wataalamu wa kutosha wa Biotechnology na Molecular Biology na kwamba wasimamizi walizembea kwenye kazi yao. Jambo ambalo lilihujumu shughuli ya upimaji wa sampuli. Hili ni funzo kubwa kwa majirani, kwamba ni muhimu zaidi kujitizama kwanza, kabla ya kuitangazia dunia yote kuhusu utepetevu wenu. Tena kwa visingizo vya ajabu(propaganda na conspiracies) kwamba kuna njama za kuwahujumu, eti sijui kutoka kwa 'mabeberu'. Tanzania laboratory for testing Covid-19 faulty, minister says
Nilijuwa tu wanasingizia machungwa bure. Hakuna jinsi machungwa yanaweza kuwa na corona. Huyo mzee wao amejiaibisha sana mbele ya dunia nzima. Profesa mzima wa kemia anajiaibisha namna hii?
 
Nilijuwa tu wanasingizia machungwa bure. Hakuna jinsi machungwa yanaweza kuwa na corona. Huyo mzee wao amejiaibisha sana mbele ya dunia nzima. Profesa mzima wa kemia anajiaibisha namna hii?

Tatizo lipo kwa wataalam wa Tanzania, wote wamekua waimba mapambio ya misifa badala ya kujikita kwenye kuzingatia kanuni za fani zao, wanapishana kila mmoja aking'ang'ania kwenda kumkosha kiongozi wa nchi na kumpokeza umbea badala ya hard facts based on scientific research.

Au pia inawezekana wapambe wa rais ambao huchuja kila taarifa anazoletewa ikulu, labda wao ndio wanachakachua na kupindisha pindisha ili kumfurahisha hatimaye wanasababisha aangukie pua kwenye baadhi ya kauli zake. Urais ni kazi ngumu na ndio maana huwa muhimu kwa rais kuwa na timu yake ya siri pembeni ambayo anawatuma kimya kimya kufanya uhakiki wa mambo anayoletewa kabla hajajianika kwenye mataa ya wana habari.

Hili la corona kwa kweli Tanzania imeboronga hadi basi, wana bahati sana hiki kirusi hakionekani kuua Waafrika kwa kasi kama kule kwa weupe. Vinginevyo, makaburi yaliyopo hayangetosha. Tushukuru sana Afrika, hata huku Kenya licha ya kwamba serikali inajaribu pakubwa ukilinganisha na hawa, ila sisi wananchi kuna wengi wetu tumekua kama Watanzania, hatuchukui tahadhari kabisa, tumeanza kuzembea.
 
Hii ni kwa wale majirani wetu ambao walikata kata mipapai yao, baada ya kutangaziwa kwamba mapapai yana Corona. Maabara kuu nchini Tz, Dar, imeumbuliwa baada ya uchunguzi kutoka kwa timu ya watu 10, ambayo iliteuliwa na waziri wa afya nchini Tz, Ummy Mwalimu. Uchunguzi wao ulibaini kwamba maabara ilikuwa na mashine mbovu, ambayo haikufanyiwa 'repair' kabla ya kuanza kupima sampuli zilizoshukiwa kuwa na virusi vya COVID-19. Zaidi ya hayo ilifichuliwa kwamba maabara hiyo haikuwa na wataalamu wa kutosha wa Biotechnology na Molecular Biology na kwamba wasimamizi walizembea kwenye kazi yao. Jambo ambalo lilihujumu shughuli ya upimaji wa sampuli. Hili ni funzo kubwa kwa majirani, kwamba ni muhimu zaidi kujitizama kwanza, kabla ya kuitangazia dunia yote kuhusu utepetevu wenu. Tena kwa visingizo vya ajabu(propaganda na conspiracies) kwamba kuna njama za kuwahujumu, eti sijui kutoka kwa 'mabeberu'. Tanzania laboratory for testing Covid-19 faulty, minister says
Wanalaiti covid 19 ingalikuwa hadithi nyingine ya paukwa pakawa. Ila hili jambo lipo. Na litawaponza polepole.
 
Nilijuwa tu wanasingizia machungwa bure. Hakuna jinsi machungwa yanaweza kuwa na corona. Huyo mzee wao amejiaibisha sana mbele ya dunia nzima. Profesa mzima wa kemia anajiaibisha namna hii?
Chunga sana, Ben Saanane alipotea pindi tu alipo- question uhalali was hio PhD ya Jiwe.
 
Chunga sana, Ben Saanane alipotea pindi tu alipo- question uhalali was hio PhD ya Jiwe.
Huyo jamaa amepublish one scientific paper online. Na hiyo paper haina abstract na wala link yake haifanyi. Unawezaje kufunza kemia katika University of Dar es Salaam kwa miaka kadhaa bila kupublish academic papers? Something is fishy. Lecturers na professors lazima wapublish academic papers regularly. We could be dealing with a quack here.
 
Kwa maana hiyo, taarifa zilizokuwa zinatangazwa na Waziri kuhusu hali ya gonjwa hiki nchini zote zilikuwa feki. Nchi haijui hali halisi ya gonjwa hili nchini. Tumebaki kusisitiza maombi na nyungu!!! Taifa la ajabu kabisa hili.
Tena kando na kuhujumu vita dhidi ya maambukizi ya Corona, afya na maisha ya watz, utepetevu wa maabara kuu jijini Dar ndio ulikuwa chanzo cha migogoro yote ya Tz na majirani mipakani. Hata ule mvutano kati ya GoT na Citizen Tv kuhusu ripoti yao 'Ukaidi wa Magufuli', chimbuko lake ni hapo hapo kwenye maabara. Ambayo ilichemsha kwenye jukumu lao la kupima sampuli kwa utaalamu na ueledi. Alafu shughuli yenyewe ambayo iliwakanganya ilikuwa inafanikisha upimaji wa sampuli 300 tu kwa masaa 24!
 
Tatizo lipo kwa wataalam, wote wamekua waimba mapambio ya misifa badala ya kujikita kwenye kuzingatia kanuni za fani zao, wanapishana kila mmoja aking'ang'ania kwenda kumkosha kiongozi wa nchi na kumpokeza umbea badala ya hard facts based on scientific research.
Au pia inawezekana wapambe wa rais ambao huchuja kila taarifa anazoletewa ikulu, labda wao ndio wanachakachua na kupindisha pindisha ili kumfurahisha hatimaye wanasababisha aangukie pua kwenye baadhi ya kauli zake. Urais ni kazi ngumu na ndio maana huwa muhimu kwa rais kuwa na timu yake ya siri pembeni ambayo anawatuma kimya kimya kufanya uhakiki wa mambo anayoletewa kabla hajajianika kwenye mataa ya wana habari. Hili la corona kwa kweli Tanzania imeboronga hadi basi, wana bahati sana hiki kirusi hakionekani kuua Waafrika kwa kasi.
Wataalamu wenyewe ni waoga pia na hawana ujasiri wa kuibuka na misamamo dhabiti inayoendana na taaluma zao. One man show at its best, mihimili inayojisimamia tupilia kule.
 
Then they complain and wonder as to why they are never taken seriously. I have always said their education system is wanting and the Human resource is poorly skilled.

Okay! They now have new machines, but who will operate them, when they themselves acknowledge their staff are lazy and ill educated?
 
Huyo jamaa amepublish one scientific paper online. Na hiyo paper haina abstract na wala link yake haifanyi. Unawezaje kufunza kemia katika University of Dar es Salaam kwa miaka kadhaa bila kupublish academic papers? Something is fishy. Lecturers na professors lazima wapublish academic papers regularly. We could be dealing with a quack here.
Chunga sana, Ben Saanane alipotea pindi tu alipo- question uhalali was hio PhD ya Jiwe.
Nilijuwa tu wanasingizia machungwa bure. Hakuna jinsi machungwa yanaweza kuwa na corona. Huyo mzee wao amejiaibisha sana mbele ya dunia nzima. Profesa mzima wa kemia anajiaibisha namna hii?
[emoji1][emoji1][emoji1] Mkiendelea kujadili hii hoja mlioibua muda sio mrefu matusi yatafanya uzi huu uzamishwe kusikojulikana. Au hata Jf ifungwe ghafla, kwa mara nyingine.
 
Huyo jamaa amepublish one scientific paper online. Na hiyo paper haina abstract na wala link yake haifanyi. Unawezaje kufunza kemia katika University of Dar es Salaam kwa miaka kadhaa bila kupublish academic papers? Something is fishy. Lecturers na professors lazima wapublish academic papers regularly. We could be dealing with a quack here.
If it quacks like a 🦆....😂😂
 
Then they complain and wonder as to why they are never taken seriously. I have always said their education system is wanting and the Human resource is poorly skilled.
Okay! They now have new machines, but who will operate them, when they themselves acknowledge their staff are lazy and ill educated?
A human resource pool with nothing substancial to offer, without mincing words, is surely the curse of a poor education system. A deteriorated system that with time has become devoid of exposure and lack of standards matching global and regional levels. It affects all levels of development not just the overall output of the workforce and the economy at large. Social progress is affected, democratic maturity of a nation as a whole is diminished, hence curtailing intergration of a people to the global/regional 'communities'. No wonder the mention of The East African Community intergration illicits cries of, 'tutaliwa' from the usual suspects.
 
True they know they can not compete that is why they put these protectionist hurdles on Kenyans and Ugandans
 
Back
Top Bottom