M MSANGU New Member Joined Apr 23, 2012 Posts 4 Reaction score 1 May 1, 2012 #1 Baada ya serikali kushindwa kutekeleza wajibu wake kwa wananchi kumetolewa tamko ya kwamba shahada ya Maabara haipo tena kwenye zile kozi zitakazo pewa kipaumbele kwa wanafunzi hao katika suala zima la mikopo!!!!! wadau tutafika?????????????????
Baada ya serikali kushindwa kutekeleza wajibu wake kwa wananchi kumetolewa tamko ya kwamba shahada ya Maabara haipo tena kwenye zile kozi zitakazo pewa kipaumbele kwa wanafunzi hao katika suala zima la mikopo!!!!! wadau tutafika?????????????????
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,118 Reaction score 1,875 May 1, 2012 #2 shahada za maabara zinatolewa na chuo gani?