Wanajamii naomben mnijuz,mtu asiye fauru biology,anawez kujiunga na chuo maabara kwa ngazi ya awali,akipata sifa aendelee na ngaz ya cheti,anaejua anijuze
Ndugu maabara is the pure science huwezi kuisomea kama hujafauru PCB na si kwa maabara tu sasa wizara haikuchagui kwa kozi yoyote ya sayansi kama hukufanya vizuri masomo hayo pole sana tafakari na chukua hatua