Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,278 Reaction score 797 Apr 25, 2024 #1 Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kauli Mbiu: Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Tumeshikamana na Tumeimarika, kwa Maendeleo ya Taifa letu. β° 12:00 Asubuhi. π 26 Aprili, 2024. π Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kauli Mbiu: Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Tumeshikamana na Tumeimarika, kwa Maendeleo ya Taifa letu. β° 12:00 Asubuhi. π 26 Aprili, 2024. π Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Apr 25, 2024 #2 Nilikwenda kwenye mkutano mkubwa wa CCM Dodoma. Nilikuwa napiga miayo mpaka Salum Karume aliposema,"Huyu aliyetupita hapa sasa ni Jacob Zuma"
Nilikwenda kwenye mkutano mkubwa wa CCM Dodoma. Nilikuwa napiga miayo mpaka Salum Karume aliposema,"Huyu aliyetupita hapa sasa ni Jacob Zuma"