Masanilo kalale bana, kesho job, maana yake tutadai CUF day tupumzike bure, halafu CHADEMA day, kisha DP day, mwaka mzima kutakua na mapumziko mengi sana na sasa CCJ inakuja.Hivi Kesho ni mapumziko ? mnaojua nihabarisheni mimi niendelee kukaa bar hapa
Masanilo kalale bana, kesho job, maana yake tutadai CUF day tupumzike bure, halafu CHADEMA day, kisha DP day, mwaka mzima kutakua na mapumziko mengi sana na sasa CCJ inakuja.
Inabidi na vyama vya upinzani navyo viombe hiyo coverage wakati wa maadhimisho ya kuzaliwa kwake/kwao hii itasaidia kusitisha suala hili. Kwani watakapokataliwa ndipo unfairness itakapoonekana na itakuwa rejea wakati mwingine.
We have to agree that they differ on fund raising and sources of income, so is when Mr president's promise that he will be fair to opp parties should be exercised.ishu sio kuomba...WANUNUE/WALIPIE uone kama hawatapewa hiyo coverage...!
wenzao wanalipia na wao pia wasiishie kununua tu helikopta wanunue pia airtime kama walivyoweza kuwa na magazeti yao......"AN-NUUR&TZ-DAIMA"
kwenye magazeti yao mbona huwa hatuoni CCM ikipewa fair coverage