KERO Maadhimisho ya wiki ya sheria Shinyanga wanaadhimisha kwa kuvunja sheria wakipiga muziki kwa sauti ya juu hadi usiku huu

KERO Maadhimisho ya wiki ya sheria Shinyanga wanaadhimisha kwa kuvunja sheria wakipiga muziki kwa sauti ya juu hadi usiku huu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hii nchi unaweza kudhani watu wamesoma basi wana akili timamu, lakini la hasha!

Kitendo cha hawa watu wa sheria kupiga muziki mkubwa kiasi cha kuondoa utulivu kwa jinsi muziki ulivyo mzito, kinaashiria aina ya watu waliojaa ukanda huu wa Afrika ni wa aina gani.

Hapo inapigwa miziki ya siku hizi ya vijana wa hovyo wasiojitambua,kwa wengine ni kero kubwa sana. Kuna hizi amapiano baadhi tunaziona zipo kuburudisha kizazi kisichofikiri, kizazi cha wahuni , machawa na wenye kiu ya ngono na kufanya uhalifu .

Ninasikitishwa sana na hii tabia inaweza kufanywa na wanasheria tena wakijiita wasomi.Inasikirisha sana,maana hapa nina mzee mgonjwa sauti ina msumbua sana.

Tulistahili kutawaliwa tena na watu akili timamu
 
Kuna hizi amapiano baadhi tunaziona zipo kuburudisha kizazi kisichofikiri ,cha wahuni ,machawa na wenye kiu ya ngono na kufanya uhalifu .
Hahaha,
Kuna watu huwambii kitu kwa hiyo miziki.
Halafu ukereketwa wa hayo mambo unaendana na umri, siyo kiwango cha elimu
 
Kwamba wana sherekea kwa Kuvunja sheria za Mazingira. Hahahaa🤣🤣
 
😀😀😀😀 maadhimisho ya wiki ya sheria yanaadhimishwa kwa kuvunja sheria.. dah.! Afrika nyoso sana 😀😀😀
 
Back
Top Bottom