mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Wana-JF kuuliza si ujinga. Kuna mada imekuwa ikizungumzwa humu kuhusu UKIMWI na hata wiki nzima hii ni msisitizo wa kupima UKIMWI.
Maswali yangu kwa wataalamu wa afya za binadamu na wanasayansi:
1) Je, ni kweli kuna kirusi kinachoua kinga ya mwili wa binadamu?
2) Kama kipo kimetoka wapi?
3) Je, kipimo cha UKIMWI kinapima nini (idadi ya virusi au upungufu wa kinga)?
4) Je, dawa za kufubaza mashambulizi ya hicho kirusi ni kweli kinafanya kazi hiyo?
Ninaamini waliopimwa wakakutwa wana maambukizi na wanatumia hizo dawa, pamoja na wanaotoa hizo dawa, watakuwa na majibu ya kuelewesha jamii ili vita hii iweze kufanikiwa.