Maadili Ligi Kuu

Maadili Ligi Kuu

save22

Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
76
Reaction score
198
Huu ni upuuzi ambao wachezaji wageni wanauleta.

Jana nimeangalia huyu jamaa akicheza kwenye timu yake ya Taifa alivaa proper tu lkn kwenye ligi yetu anavaa kisela kama karukwa na akili.

View attachment 2743989View attachment 2743990
20230830_075054.jpg
 
Anaficha hirizi kuna siku refa alimwanbia aishushe kuna kitu ilionekana anaficha ila camera ikawahi kuondoa
 
Mbona hukusema Nyoni alipoingia na hereni kuwa alijipamba kumfuata mmewe uwanjani?.
Wachezaji wengi wanavaa hereni kama fashion ,ila kuonyesha viungo ni dalili ya ushoga
 
Back
Top Bottom