Hakuna style nisiyopenda kuiona kama hiyo. Nadhani wakati umefika ipigwe marufuku katika ligi zetu. Kuna yule refa mechi ya CAF alimuamuru arekebishe bukta yake avae sawasawa akamtiiHuu ni upuuzi ambao wachezaji wageni wanauleta.
Jana nimeangalia huyu jamaa akicheza kwenye timu yake ya Taifa alivaa proper tu lkn kwenye ligi yetu anavaa kisela kama karukwa na akili.
View attachment 2743989View attachment 2743990View attachment 2743991
Hizi simba na yanga zinatuonesha namna nchi yetu ilivyo na mazuzu wengiMnaogopa mkiuona ule msuli!kama ni watoto kwenye soka sawa,mnamkumbuka yule Mchezaji wa SA?
Mchezaji anapenda kuonyesha mata.ko yake na mapaja uwanjani siyo kama anataka kufir...wa ni niniMnaogopa mkiuona ule msuli!kama ni watoto kwenye soka sawa,mnamkumbuka yule Mchezaji wa SA?
Kwahiyo akifanya huyo Antony ndio inakua sawa kufanywa na wengine?Hua una mwangalia Antony wa Man U?
Simba na Yanga ni msaada mkubwa Sana.Hizi simba na yanga zinatuonesha namna nchi yetu ilivyo na mazuzu wengi
Mchezaji anapenda kuonyesha mata.ko yake na mapaja uwanjani siyo kama anataka kufir...wa ni nini
Wachezaji wengi wanavaa hereni kama fashion ,ila kuonyesha viungo ni dalili ya ushogaMbona hukusema Nyoni alipoingia na hereni kuwa alijipamba kumfuata mmewe uwanjani?.
Mbumbumbu ni mbumbumbuWachezaji wengi wanavaa hereni kama fashion ,ila kuonyesha viungo ni dalili ya ushoga
Mbumbumbu ni mbumbumbu tu, umeandika nini sasa hapa?Hizi simba na yanga zinatuonesha namna nchi yetu ilivyo na mazuzu wengi