singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
tuipigie kura ya ndio katika pendekezwa ambayo imesheheni mambo mengi mazuri ikiwemo maadili ya viongozi na miiko yake
KATIBA PENDEKEZWA NA MIIKO YA UONGOZI WA UMMA
(utii wa miiko ya viongozi wa umma)
30-. (1) Bila ya kuathiri masharti ya kaiba hii, kiongozi wa umma ataheshimu na kutii miiko ya uongozi
(2) Bunge litatunga sheria itayoainisha:
(a) miiko inayopaswa kuzingatiwa na miiko ya uongozi;
(b) utaratibu wa kumuundoa kazini kiongozi wa umma kutokana na kuvunja miiko na kukiuka maadili ya uongozi wa umma;
(c) vitendo amabvyo kiongozi wa umma hapaswi kuvitenda; na
(d) ngazi au orodha ya viongozi wa umma na sehemu hii.
31.-(1) mtumishi wa umma aliye katika ajira ya kudumu hataruhusiwa kuingia katika ajira ya nyingine yeyote ya kudumu yenye malipo ya mshahara.
(2) Mtumishi wa umma hataruhusiwa kugombea nafasi au kuteuliwa kushika nafasi ya madaraka katika chama cha siasa au nafasi ya madaraka ya kisiasa ya aina yeyote chini ya katiba hii.
(3) Endapo mtumishi wa umma anayefungwa na masharti ya ibala ya 30 (2)(d) ataamua kugombea au atateuliwa kushika;
(a) nafasi ya madaraka ya kisiasa ya aiana yeyote chini ya katiba hii; au
(b) Uongozi wa ngazi yeyote katika chama cha sisa,
Mtumishi huyo atachukuliwa kuwa umtumishi wake umekoma tangu siku ya kuteuliwa kuwa mgombea au kuteuliwa kushika nafasi ya madaraka ya kisiasa au kiuongozi katika chama.