Maadili ya fani mbali mbali -tukumbushane , tuelimishane na tuulizane

Zing

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Posts
1,767
Reaction score
470
Wadau
kila taaluma zina kitu kinaitwa maadili ya taaluma . iwe ni sheria,uhandisi ICT, udaktari ,uhasibu, uchumi . etc

Sasa basi tukumbushane tuelimishane baadhi ya code of ethics za taaluma mbali mabli. Napenda kujua pia kama kuna code of ethics ya wanasiasa.

Naanza


I. System administrators code of conduct-
Mdau masha jf aliweka linkkwenye jukwaa la teknolojia ikiongelea mambo haya




Katika kitabu cha software engiineering ( Ian Sommerville 8[SUP]th[/SUP] edition) Pg 34

II. Profffesional and ethical responsibility of software engineer


....

Sasa wa JF ebu tuelimishane na kuulizana juu ya maadili na msingi ya taluma nyingine kama sheria uhasibu, ujenzi ufundi, ni yapi?

Na je wanasiasa na watendaji wangezingatia maadili ya taaluma zao au kuyatafsiri maadili ya taaluma zao katika mazingra ya kazi zao zao za kisiasa na kitedaji hali ingekuwaje?


Nawasilisha kwa wadau mtoe maadili ya fani nyinginezo
 
Siasa iko huru na Maadili ila kila jamii inajiwekea kanuni ili kulinda Maadili ya kikatiba ya Nchi husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…