BenElohimy
Senior Member
- Sep 21, 2021
- 181
- 222
Ukiona kanisa linageuzwa sehemu ya kuongelea mambo ya siasa , wewe jua tu tatizo siyo waamini bali ni Askofu mwenyewe au mchungaji mwenyewe, na waamini wakajikuta wamekuwa washahabiki wa Mchungaji na siyo wafuasi wa Mungu tena.
#wachungaji na #maaskofu msipoteze kanisa.
#wachungaji na #maaskofu msipoteze kanisa.