BenElohimy
Senior Member
- Sep 21, 2021
- 181
- 222
Asante sana mkuu, please subscribeKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Kanisa la kweli sio majengo bali liko rohoni mwako.. Kule kuna maslahi tuuUkiona kanisa linageuzwa sehemu ya kuongelea mambo ya siasa , wewe jua tu tatizo siyo waamini bali ni Askofu mwenyewe au mchungaji mwenyewe, na waamini wakajikuta wamekuwa washahabiki wa Mchungaji na siyo wafuasi wa Mungu tena.
#wachungaji na #maaskofu msipoteze kanisa.
Na hili pia ni neno, lakini hilo jengo watu wanalitumia vibaya, ndugu ni kama vile na waamini nao wamekuwa washahabiki hasa kule dsmKanisa la kweli sio majengo bali liko rohoni mwako.. Kule kuna maslahi tuu
Ni binadamu si wakamilifu na wamepungukiwa na utukufu wa MunguNa hili pia ni neno, lakini hilo jengo watu wanalitumia vibaya, ndugu ni kama vile na waamini nao wamekuwa washahabiki hasa kule dsm