Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Chadema ni tatizo kwenye hii nchi. Jiwe was right to deal with them.
Who said Jpm? I said jiwe.Don't speak about deadly body Jpm
Hatujajua ni liniKwa sasa bado ni hiari kuhama, je, ni lini itaacha kuwa hiari?
Wako wapi hao watu.Wale waliopigwa risasi ni waarabu au wazungu?? au zile picha n feki!!!
Kwahiyo itakapoacha kuwa hiari mtafanyaje? Mtaenda kuwachomew moto nyumba zao?Hatujajua ni lini
Hawashindwi kufanya hivyo hawa intarahamwe.Kwahiyo itakapoacha kuwa hiari mtafanyaje? Mtaenda kuwachomew moto nyumba zao?
Kwa pesa gani serikali kuwajengea hao wamasai.Hizo pesa katoa huyo mwarabu ili kuwaondosha wamasai.wakati wa Magufuli aliufyata sidhani kama hata ulikuja kuwinda.sasa kaingia mama ndio yanatokea hayo madudu.Kuna watu wenye akili zao kwa makusudi kabisa wanaamua kupotosha juu maeneo haya mawili. Kule Loliondo tunaweka alama za mipaka kati ya eneo tengefu na eneo la wananchi. Alama hizi za mipaka zimekuwa zikiwekwa maeneo mengi ya uhifadhi hapa nchini, mfano ni kule Gombe.
Ngorongoro bado tunaendelea kusisitiza kuwa kwa wale wote kwa hiari yao wataamua kuhama nyumba zimejengwa kule Handeni, nyumba 104 ziko tayari, nyingine 400 zinakamilishwa.
HAKUNA ASKARI YEYOTE ALIYEPELEKWA NGORONGORO KUMHAMISHA MTU YEYOTE KWA LAZIMA.! Bado ishu ya kuhama ni hiari ya mtu.
Tuwe wazalendo jamani, tuache upotoshaji.
adui namba moja wa nchi hii, ni MARIA SARUNGU. amefurahi kweli kweli kwamba sasa kapata cha kuongea. anatumiwaga na wazungu siku zote kuleta chokochoko nchini.Kuna watu wenye akili zao kwa makusudi kabisa wanaamua kupotosha juu maeneo haya mawili. Kule Loliondo tunaweka alama za mipaka kati ya eneo tengefu na eneo la wananchi. Alama hizi za mipaka zimekuwa zikiwekwa maeneo mengi ya uhifadhi hapa nchini, mfano ni kule Gombe.
Ngorongoro bado tunaendelea kusisitiza kuwa kwa wale wote kwa hiari yao wataamua kuhama nyumba zimejengwa kule Handeni, nyumba 104 ziko tayari, nyingine 400 zinakamilishwa.
HAKUNA ASKARI YEYOTE ALIYEPELEKWA NGORONGORO KUMHAMISHA MTU YEYOTE KWA LAZIMA.! Bado ishu ya kuhama ni hiari ya mtu.
Tuwe wazalendo jamani, tuache upotoshaji.
Serekali ikujengee nyumba bure? Wakati inakopa kukamilisha miradi,Kwa pesa gani serikali kuwajengea hao wamasai.Hizo pesa katoa huyo mwarabu ili kuwaondosha wamasai.wakati wa Magufuli aliufyata sidhani kama hata ulikuja kuwinda.sasa kaingia mama ndio yanatokea hayo madudu.
YULE ALIYECHAPWA MSHALE AKAZIKWA NI WAPI ILIKUWA?Wako wapi hao watu.
Kuna watu wenye akili zao kwa makusudi kabisa wanaamua kupotosha juu maeneo haya mawili. Kule Loliondo tunaweka alama za mipaka kati ya eneo tengefu na eneo la wananchi. Alama hizi za mipaka zimekuwa zikiwekwa maeneo mengi ya uhifadhi hapa nchini, mfano ni kule Gombe.
Ngorongoro bado tunaendelea kusisitiza kuwa kwa wale wote kwa hiari yao wataamua kuhama nyumba zimejengwa kule Handeni, nyumba 104 ziko tayari, nyingine 400 zinakamilishwa.
HAKUNA ASKARI YEYOTE ALIYEPELEKWA NGORONGORO KUMHAMISHA MTU YEYOTE KWA LAZIMA.! Bado ishu ya kuhama ni hiari ya mtu.
Tuwe wazalendo jamani, tuache upotoshaji.
Serikali haina fungu la kujenga nyumba 500 za kuwapa wamasai, hizo ni pesa za OBC (kampuni ya waarabu) , wanatumia pesa nyingi sana ili kuchukua hilo eneo, hivi kuna nini huko Loliondo? Kama wamegundia Almasi si waseme tu?!Kwa pesa gani serikali kuwajengea hao wamasai.Hizo pesa katoa huyo mwarabu ili kuwaondosha wamasai.wakati wa Magufuli aliufyata sidhani kama hata ulikuja kuwinda.sasa kaingia mama ndio yanatokea hayo madudu.
Daah, hii ni hatari sasa