MAADUI wengine wa HAKI ni hawa...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Wa kwanza ni wanasiasa wanaoingilia Mahakama kufikia maamuzi.Wa pili ni Taasisi ya Sheria kwa Vitendo almaarufu kama Law School of Tanzania.Hawa wanafanya kila liwezekanalo kuzuia ongezeko la Mawakili. Natoa mfano: wanafunzi wa Kohoti ya Tisa ya Law School walimaliza mitihani yao tarehe 2/3/2012. Hadi leo,wanafunzi hawa wapatao 200 hawajapata matokeo yao.Miezi minne?!
Ufaulu nao ndio usiseme!

Ifahamike kuwa, kwasasa Mhitimu wa Shahada ya Sheria hawezi kuwa Wakili (mtetezi wa Haki) hadi apitie na kufaulu Law School. Kucheleweshwa matokeo ni kuchelewesha haki ya Wanasheria kuwa Mawakili. Law School iyatoe basi matokeo ili kuwafanya watahiniwa kujua kinachoendelea. Wakati ni sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…