Ndugu zangu tuwe makini Sana na wale tuliotofautiana kwenye biashara, mahusiano na mambo mengine ya kugombea madaraka maana watu hao watatumia upepo huo kutuangamiza na wakijua lazima watu wataona ni mambo ya kisiasa tu hivyo uchunguzi haotowakamata.