A
Hilo jambo ni shida kubwa,nimepewa taarifa hata Manispaa ya Mtwara Mikindani CDOs wa kata wanaonewa sana na Mkuu wao wa Idara...Suala la posho ni kizungumkiti na kazi zinafanyika.Yote haya tunayafanyia kazi.huyo mkuu wenu wa idara amekaa muda gani?Habari,
Tunaomba upaze sauti mamlaka zisikie maafisa maendeleo wa kata halmashaur ya kwimba tunanyanyasika, mkuu wa idara Yuko biased anajali walioko headquarter tu.
Yaani maafisa wa kata tunashindwa kutimiza majukumu vizuri kwa sababu hata vitendea kazi tu mf laptop hatupatiwi, lakin wa hq hata pc zikisumbua tu wa naagiziwa mpya.
OC sisi wa kata ndo kabisa katika mwaka mzima mnaweza kuta mmepewa 180k mwaka mzima ila wenzetu wanawezeshwa.
Likizo hatulipwi, tunaambiwa tufatilie marejesho lakin pia hatuwezeshwi.
Na ukisema uongee kwenye vikao yan utaishiwa kukosa hata Iko kidogo tunaomba tutoe kilio chetu nasisi tuongee
HahahahaEehh!!
Halmashauri kila idara imeoza, kufanya kazi halmashauri inataka moyo sana.