Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Taasisi nyeti kama hii haziwezi kuongozwa na wahalifu. Vijana wanatumia Sheria mbovu za Kodi kujitajirisha na kuleta adha kubwa kwa uchumi wa nchi na wafanya biashara.
Kulingana na maoni ya watu wengi maafisa wa TRA wamekuwa wakikadiria Kodi kubwa wafanyabiashara nje ya utaratibu ili mfanyabiashara atakaposhindwa aweze kumtafuta na kufanya naye bargain na kulipwa pesa inayokwenda kwenye mfuko wake.
Hii haijakaa sawa kwani inaondoa mapato ya serikali na kupelekea matatizo makubwa ya uchumi kwa wananchi. Imagine kijana analipwa mshahara kwa Kodi hizo hizo za wananchi lakini ananyanyasa walipa Kodi.
Ni wakati sasa wa kuchunguza uhalali wa mali wanazomiliki ili kama wanahujumu uchumi Sheria ichukue mkondo wake. Watumishi wa TRA wamekuwa wababe kama mbogo taasisi ya mipango na fedha imekuwa Kama paramilitary group yote kuwanyang'anya wananchi mali zao.
===
Pia soma: Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024