Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Tunampongeza sana Samia kwa kwenda na wenzie huko Korea. Itakuza sana uigizaji katika nchi yetu. Tumeona boda boda nao wameomba akienda India aende nao ili wakajifunze namna bora ya kuendesha boda boda.
Nasisi maafisa ubashiri (Betting Officers) tunaomba sana akipata nafasi ya kwenda England. Asituache. Aende nasi tukajifunze huko namna ya kumpiga au kumchinja Mhindi. Kuna ajira nzuri sana katika ku bet serikali tu inachelewa kuwekeza.
Tunaomba tukapate darsa ili kujifunza namna bora ya kubet bila kuliwa sana.