Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Utafungwa sasaRaisi anasafiri na wasanii? Ety wakafundishwe kuigiza? Inamaana lile movie la Royo Tua halikuuza? Ana mpango atoe lingine kwa ujuzi wa mkorea? Hivi kweli watanzania tuko serious?
Eehh! Mungu ikikupendeza, narudia tena kama ikikupendeza twaomba chukua na huyu.
likitokea la kutokea usije ukaikimbia id yako ukaja na mpyaRaisi anasafiri na wasanii? Ety wakafundishwe kuigiza? Inamaana lile movie la Royo Tua halikuuza? Ana mpango atoe lingine kwa ujuzi wa mkorea? Hivi kweli watanzania tuko serious?
Eehh! Mungu ikikupendeza, narudia tena kama ikikupendeza twaomba chukua na huyu.
naona neno ofisa linatumiwa vibaya mahali pasipo na muafaka. Mara maofisa usafirishaji kwa maana ya bodaboda je LATRA wataitwaje? Mara maofisa kubashiri, hawa wote ni wahuni na washenzi watupu, mara moja waache kujiita maofisa na waliowapa hadhi hiyo wakome kuwaita hivyo. Wenye hadhi ya kuitwa hivyo wanafahamika ni wasomi walioko kwenye ofisi za ummaTunampongeza sana Samia kwa kwenda na wenzie huko Korea. Itakuza sana uigizaji katika nchi yetu. Tumeona boda boda nao wameomba akienda India aende nao ili wakajifunze namna bora ya kuendesha boda boda.
Nasisi maafisa ubashiri (Betting Officers) tunaomba sana akipata nafasi ya kwenda England. Asituache. Aende nasi tukajifunze huko namna ya kumpiga au kumchinja Mhindi. Kuna ajira nzuri sana katika ku bet serikali tu inachelewa kuwekeza.
Tunaomba tukapate darsa ili kujifunza namna bora ya kubet bila kuliwa sana.
likitokea la kutokea usije ukaikimbia id yako ukaja na mpya
Bwege wewe. Hujui lolote. SISI NI MAOFISA UBASHIRI. unasemaje dogo bwege?naona neno ofisa linatumiwa vibaya mahali pasipo na muafaka. Mara maofisa usafirishaji kwa maana ya bodaboda je LATRA wataitwaje? Mara maofisa kubashiri, hawa wote ni wahuni na washenzi watupu, mara moja waache kujiita maofisa na waliowapa hadhi hiyo wakome kuwaita hivyo. Wenye hadhi ya kuitwa hivyo wanafahamika ni wasomi walioko kwenye ofisi za umma
Hakuna upendeleo ni mipango tu dogo.Kama upendeleo umetolewa kwa wanamuziki na wacheza muvi basi itoshe hivyo, makundi mengine yapambane na hali zao kuboresha shughuli zao
huo uofisa mliousomea wapi? Ofisi zenu zinatambulika?Bwege wewe. Hujui lolote. SISI NI MAOFISA UBASHIRI. unasemaje dogo bwege?