Maafisa Uhamiaji kutoka Chuo cha Uhamiaji huwa wanasoma kozi gani?

Abby Ability

New Member
Joined
May 18, 2019
Posts
4
Reaction score
0
Naomba kujua tafadhari hawa Maafisa Uhamiaji huwa wanasoma course gani? Vyuo pia ni vipi? Pamoja na vigezo vyao.๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป
 
Zamani walikua hawana chuo rasmi walikua wanafanya kozi zao chuo cha polisi CCP kwa sasa chuo kipo huko wilaya ya mkinga Tanga.

Kuhusu wanasoma kozi gani ni kozi zinazoendana na majukumu ya kazi zao na zinatolewa kwenye chuo Chao tu.
 
Hiko chuo kipo chini ya nacte au tcu
 
Back
Top Bottom