A Abby Ability New Member Joined May 18, 2019 Posts 4 Reaction score 0 May 4, 2024 #1 Naomba kujua tafadhari hawa Maafisa Uhamiaji huwa wanasoma course gani? Vyuo pia ni vipi? Pamoja na vigezo vyao.ππ»ππ»ππ»
Naomba kujua tafadhari hawa Maafisa Uhamiaji huwa wanasoma course gani? Vyuo pia ni vipi? Pamoja na vigezo vyao.ππ»ππ»ππ»
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 May 5, 2024 #2 Abby Ability said: Naomba kujua Tafadhari hawa maafisa uhamiaji huwa wanasoma course gani?, vyuo pia ni vipi? Na vigezoππ»ππ»ππ» Click to expand... Jiunge na jeshi lao, mle ndio utajua wanajifunxa nini
Abby Ability said: Naomba kujua Tafadhari hawa maafisa uhamiaji huwa wanasoma course gani?, vyuo pia ni vipi? Na vigezoππ»ππ»ππ» Click to expand... Jiunge na jeshi lao, mle ndio utajua wanajifunxa nini
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 May 5, 2024 #3 Zamani walikua hawana chuo rasmi walikua wanafanya kozi zao chuo cha polisi CCP kwa sasa chuo kipo huko wilaya ya mkinga Tanga. Kuhusu wanasoma kozi gani ni kozi zinazoendana na majukumu ya kazi zao na zinatolewa kwenye chuo Chao tu.
Zamani walikua hawana chuo rasmi walikua wanafanya kozi zao chuo cha polisi CCP kwa sasa chuo kipo huko wilaya ya mkinga Tanga. Kuhusu wanasoma kozi gani ni kozi zinazoendana na majukumu ya kazi zao na zinatolewa kwenye chuo Chao tu.
M Mkereketwa wa NAZI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 1,048 Reaction score 2,449 May 6, 2024 #4 Lucha said: Zamani walikua hawana chuo rasmi walikua wanafanya kozi zao chuo cha polisi CCP kwa sasa chuo kipo huko wilaya ya mkinga Tanga. Kuhusu wanasoma kozi gani ni kozi zinazoendana na majukumu ya kazi zao na zinatolewa kwenye chuo Chao tu. Click to expand... Hiko chuo kipo chini ya nacte au tcu
Lucha said: Zamani walikua hawana chuo rasmi walikua wanafanya kozi zao chuo cha polisi CCP kwa sasa chuo kipo huko wilaya ya mkinga Tanga. Kuhusu wanasoma kozi gani ni kozi zinazoendana na majukumu ya kazi zao na zinatolewa kwenye chuo Chao tu. Click to expand... Hiko chuo kipo chini ya nacte au tcu
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 May 6, 2024 #5 Mkereketwa wa NAZI said: Hiko chuo kipo chini ya nacte au tcu Click to expand... Hakipo chini ya Nacte wala Tcu hiyo ni ajira ukienda kwenye hicho chuo maana yake umeshaajiriwa
Mkereketwa wa NAZI said: Hiko chuo kipo chini ya nacte au tcu Click to expand... Hakipo chini ya Nacte wala Tcu hiyo ni ajira ukienda kwenye hicho chuo maana yake umeshaajiriwa