Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mshahara ni kama 438,000/- kwa kuanzia. lakini uwe tayari kwenda JKT kupiga kwata kwa miezi 6 halafu miezi mitatu utapelekwa TRITA Moshi kwenye chuo cha uhamiaji ukapewe ujuzi kidogo katika masuala mazima ya kuhamia na kuhama nchini

asante mkuu na ubarikiwe,je lazima upitie JKT?hiyo miezi mitatu Moshi ntaenda kwa kuwa nasoma Law enforcement kwa sasa.