Maafisa utumishi naomba msaada

Maafisa utumishi naomba msaada

koplo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
574
Reaction score
153
Habari za leo wana JF,Naulìza kama muajiriwa wa halmashauri amejiendeleza katika fani ambayo ni tofauti na aliyo ajiriwa nayo. lakini hiyo fani mpya haina idara katika halmashauri husika.je kunauwezekano wa kuamia WIZARANI TAMISEMI
kama ndio naomba utaratibu
thanx
 
Back
Top Bottom