Maafisa utumishi: watumishi wanaobadilishwa kada/kazi mwaka 2023/2024 na wale wa madaraja

Maafisa utumishi: watumishi wanaobadilishwa kada/kazi mwaka 2023/2024 na wale wa madaraja

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
931
Reaction score
612
Naomba kujuzwa yafuatayo:
1. Je, unamjua mtu ambeye kabadilishwa kada au kupanda daraja mwaka huu?
2. Hivi ubadilishwaji kada na upandishwaji madaraja unaweza kuendelea hata baada ya mwezi july kupita.
3. Ni hatua zipi mfanyakazi anapitia baada ya kutuma maombi ya kubadilishwa kada.

Hapa mimi natamani kujua zaidi kuhusu kubadilishwa kada, nimeweka na upandishwaji madaraja kwa sababu nasikia vinaenda kwa pamoja.

Shemeji yenu anaoptions mbili moja kuomba uhamisho aje mjini au abadilishwe kada kwa maombi ambayo tayari ameisha omba, kwa kuwa kazi mpya nature yake ni mazingira ya mjini hivyo lazima atanifuata automatically. sasa uhamisho ni mgumu hasa wa kutoka bush kuja town na mchakato wa kubadilishwa kada autabiliki.
 
Kubadilishiwa kada mpaka halmashauri iwe na unahitaji wa uyo mtu ila kama hawana unahitaji nae basi ataendelea kubaki uko kijijini.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
huitaji ulikuwepo na barua yake ilipitishwa na kukubaliwa na idara zate mbili, na majina yao yalikwishatumwa serikalini.
 
Back
Top Bottom