Serikali inatumia nguvu sana kupuruni wataalamu wa afya kwa mbinu tofaut tofauti,, kila kukicha vigezo vinakuwa vingi ,, Tena kwa lazima taka usitake.
Imagine mtu amepata license ya kazi,, amekaa nayo bila kuitumia ( kwa kuwa ajira ni ngumu), Bado unamlazimisha arenew Tena bila kujali ana ajira au laah!!
Tunajua, serikali inakusanya mapato kupitia mabaraza ya wataalamu wa afya kwa mgongo wa license,, lakini sometimes zingatieni utu,, !!
Ni bora serikali ikapuruni vyuo vya taaluma za afya,, kuliko kudeal na waliohitimu ili kuwaangamiza bila kujali gharama walizozitumia kuwekeza kwenye taaluma hizo.