Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Neno gan ni sahih tofaut na uvamiz???Uvamizi?
Kama hao maafisa wa FBI walipata search warrant iliyowekwa saini na jaji wa mahakama, tutasemaje kuwa ni uvamizi?
Wapi Ruddy Giullian?Vyombo mbalilmbali leo asubuhi vimereport taarifa ya uvamizi wa FBI katika jumba la aliekuwa Rais wa marekani Donald Trump. Kupitia vyanzo mbalimbali vya taarifa vimebainisha kuwa Rais huyo mstaafu huenda akawa na ( white House record ) hivyo kuhatarisha Siri za serikali ya marekani. Kwanini Trump haaminiki?
Walipata serch warranty maana unaonekana jamaa alikuwa na classified documents kwa hiyo walivamia kama shitukizo ili kuona kama wangepata wanachokitafutaUvamizi?
Kama hao maafisa wa FBI walipata search warrant iliyowekwa saini na jaji wa mahakama, tutasemaje kuwa ni uvamizi?
Hapana ni Mar -a- largoWapi Ruddy Giullian?
Trump ni kitisho Marekani kama ilivyo Rutto kwa KenyaHapana ni Mar -a- largo
Upekuzi.Neno gan ni sahih tofaut na uvamiz???
Leta sosiVyombo mbalilmbali leo asubuhi vimereport taarifa ya uvamizi wa FBI katika jumba la aliekuwa Rais wa marekani Donald Trump. Kupitia vyanzo mbalimbali vya taarifa vimebainisha kuwa Rais huyo mstaafu huenda akawa na ( white House record ) hivyo kuhatarisha Siri za serikali ya marekani. Kwanini Trump haaminiki?
Wampime na mkojo wake pia, Trump ni kiongozi hatari sanaVyombo mbalilmbali leo asubuhi vimereport taarifa ya uvamizi wa FBI katika jumba la aliekuwa Rais wa marekani Donald Trump. Kupitia vyanzo mbalimbali vya taarifa vimebainisha kuwa Rais huyo mstaafu huenda akawa na ( white House record ) hivyo kuhatarisha Siri za serikali ya marekani. Kwanini Trump haaminiki?