Maafisa wa NEC wanaenda motoni moja kwa moja huku maafisa wa IEBC wakienda peponi

Maafisa wa NEC wanaenda motoni moja kwa moja huku maafisa wa IEBC wakienda peponi

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Haya mambo msichukulie kirahisi.

Si mmeona chebukati hajasema eti wananchi wanataka maji na blah blah nyingine, si mmeona usalama wao wa taifa hawaingilii lolote kuanzia ngazi za chini hadi juu wao kazi ni kusimamia usalama tu.

Wale maafisa ukikutana nao peponi akina chebukati wala sio wa kushangaa lakini hawa wa NEC yaani mahela aende peponi sijui labda maana haiwezekani eti wapinzani hawajui kuandika majina yaani typing error eti wanamuengua mtu yaani unaona kabisa hawa ni motoni moja kwa moja bila maelezo.
 
Chibukati anasema waandishi wa habari kujeni muulize maswali magumu, huku Tanzania mahera anahutubia halafu anakimbilia chumbani Kwa mke wake
 
Inamaana mmekuwa Watoto hadi mshindwe kumtambua UHURU KENYATA chenga aliyompiga Raila Odinga kwa kuzuga kuwa alikuwa ana bifu na Makamu wake wa U-Rais "WILLIAM RUTO"waliyeambatana naye ktk chaguzi kuu zote mbili za Kenya na kuongoza nchi, kisha watofautiane naye hadi wawe maadui wakubwa asiweze kusapotiwa na Uhuru anapostaafu?

Hamjui Makamu ana siri ngapi za uongozi wa Uhuru Kenyata kiserikali na itamuweka uchi kiasi gani na kuathiri Wananchi kisaikolojia?

Au mnadhani uongozi wa nchi ni sawa na uongozi wa mdanande, kigodoro na mchiriku?

UHURU KENYATA KAMPIGA GOLI LA KISIGINO RAILA ODINGA KWA URAFIKI FEKI WA GHAFLA.
 
Inamaana mmekuwa Watoto hadi mshindwe kumtambua UHURU KENYATA chenga aliyompiga Raila Odinga kwa kuzuga kuwa alikuwa...

Wachambuzi wa siasa wa kimataifa kutoka Tanzania hawa, kwamba Raila yeye unamuona ni mjinga au hua mnafikiria nini hasa
 
  • Thanks
Reactions: RMC
Back
Top Bottom