Inamaana mmekuwa Watoto hadi mshindwe kumtambua UHURU KENYATA chenga aliyompiga Raila Odinga kwa kuzuga kuwa alikuwa ana bifu na Makamu wake wa U-Rais "WILLIAM RUTO"waliyeambatana naye ktk chaguzi kuu zote mbili za Kenya na kuongoza nchi, kisha watofautiane naye hadi wawe maadui wakubwa asiweze kusapotiwa na Uhuru anapostaafu?
Hamjui Makamu ana siri ngapi za uongozi wa Uhuru Kenyata kiserikali na itamuweka uchi kiasi gani na kuathiri Wananchi kisaikolojia?
Au mnadhani uongozi wa nchi ni sawa na uongozi wa mdanande, kigodoro na mchiriku?
UHURU KENYATA KAMPIGA GOLI LA KISIGINO RAILA ODINGA KWA URAFIKI FEKI WA GHAFLA.