Kinuju
JF-Expert Member
- Mar 20, 2021
- 2,386
- 5,325
Wiki yote iliyopita iligubikwa na maagizo mbambali ya kujikinga na ugonjwa hewa wa corona Tanzania.
Yani ugonjwa wa corona unatafutwa kwa tochi nchini Tanzania.
Dunia inakotoka sisi watanzania ndiyo tunaenda kwa kasi ya 4G! Dunia nzima wanaachana na mashariti ya distance na barakoa sisi ndiyo imegeuka wimbo ,hadi watoto wa shule za msingi huko vijijini wanalazimishwa wavae barakoa!
Hivi corona ingeingia mwaka 2019 tukiwa na viongozi wa aina hii, hali ingekuwaje?
Hata hivyo wananchi wameamka na kupuuza maagizo yote na wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.