Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Wewe ulitaka ofisi ya CCM ikajengwe mbinguni?!Kuna wakati najaribu kumwelewa raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya KIgamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo yafuatayo;
View attachment 1355040
Hebu niambieni ndugu zangu, ni mimi tu naona kuna tatizo katika maagizo haya ya raisi au kweli kuna tatizo?
Mkuu huna uwezo wa kusoma ukaelewa. Ndio maana watu kama wewe wanafeli mitihani. Umekosa jambo kuu katika nilichoandika.Wewe ulitaka ofisi ya CCM ikajengwe mbinguni?!
Wewe ndio una tatizo!Mkuu huna uwezo wa kusoma ukaelewa. Ndio maana watu kama wewe wanafeli mitihani. Umekosa jambo kuu katika nilichoandika.
kuna tatizo sana! labda angesema tengeni eneo kwa kila cham cha siasa manake maendeleo hayana chamaKuna wakati najaribu kumwelewa raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya KIgamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo yafuatayo;
View attachment 1355040
Hebu niambieni ndugu zangu, ni mimi tu naona kuna tatizo katika maagizo haya ya raisi au kweli kuna tatizo?
mkuu mimi huwa siwaelewi mtu/watu wanaemuelewa huyu jamaa.Kuna wakati najaribu kumwelewa raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya KIgamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo yafuatayo;
View attachment 1355040
Hebu niambieni ndugu zangu, ni mimi tu naona kuna tatizo katika maagizo haya ya raisi au kweli kuna tatizo?
sio kwa maagizo yake!!Wewe ndio una tatizo!
Kuna ubaya gani ofisi ya CCM ikijengwa ndani ya hizo ekari 700?!
Katoa mifano hajaagiza......hata Chadema wanaweza kujenga makao makuu kule kwa kamanda mkongwe Yericko Nyerere!sio kwa maagizo yake!!
Siyo kazi/wajibu wa halmashauri kujenga ofisi ya CCM wala ku-allocate ardhi ya wananchi kwa chama cha siasa. Kama ni kiwanja, CCM wajinunulie kiwanja chao kwa hela za chama na wajenge wenyewe.Wewe ndio una tatizo!
Kuna ubaya gani ofisi ya CCM ikijengwa ndani ya hizo ekari 700?!
Huyo kiazi unapoteza muda kumuelewesha kwani facts ziko wazi ila kajitoa ufahamu!Siyo kazi/wajibu wa halmashauri kujenga ofisi ya CCM wala ku-allocate ardhi ya wananchi kwa chama cha siasa. Kama ni kiwanja, CCM wajinunulie kiwanja chao kwa hela za chama na wajenge wenyewe.
Hakuna ubaya, lakini hilo sio jambo kuu katika thread hii. Soma tena.Wewe ndio una tatizo!
Kuna ubaya gani ofisi ya CCM ikijengwa ndani ya hizo ekari 700?!
Kama katoa mfano basi anapasa kujitafakari sana katika mifano anayotoa au jinsi anavyoiundia sentensiKatoa mifano hajaagiza......hata Chadema wanaweza kujenga makao makuu kule kwa kamanda mkongwe Yericko Nyerere!
Kwa maagizo ya nani sasa wakati yeye ndio mwenyekiti wa chama?sio kwa maagizo yake!!
Mbona wewe hapa unaonekana ndio huna akili?Mimi kama mzazi nikona mtoto ana akili hizi naongeza juhudi ya kuvaa kondomu wakati wa kuchakata papuchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nikisoma comment kama yako ndipo ninapoelewa kwa nini Magufuli ana mashabiki wengi na sio waungaji mkono wengi. Unaelewa tofauti kati ya kuumunga mkono na kumshabikia Magufuli?Uwelewi nn sasa apo ofisi ya ccm au
Mkuuu kwani ww ni nani kwa magufuli?Mkuu nikisoma comment kama yako ndipo ninapoelewa kwa nini Magufuli ana mashabiki wengi na sio waungaji mkono wengi. Unaelewa tofauti kati ya kuumunga mkono na kumshabikia Magufuli?