Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Shida ni kuwa maagizo ya kutolewa na mwenyekiti wa chama yanatolewa na rais... amesahau kuwa alikuwa kwebye ziara ya kiserikali na si kichamaKuna wakati najaribu kumwelewa raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya KIgamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo yafuatayo;
View attachment 1355040
Hebu niambieni ndugu zangu, ni mimi tu naona kuna tatizo katika maagizo haya ya raisi au kweli kuna tatizo?
Aseee shida ilianza pale tuuu vikao vya ccm kufanyika magogoni mbele ya tissShida ni kuwa maagizo ya kutolewa na mwenyekiti wa chama yanatolewa na rais... amesahau kuwa alikuwa kwebye ziara ya kiserikali na si kichama
Pale alikuwa anafungua tawi la chama?
Siku hizi pesa zote ni za serikali na CCM na ndicho kilichoitajirisha ghafla CCM.Kuna wakati najaribu kumwelewa raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya KIgamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo yafuatayo;
View attachment 1355040
Hebu niambieni ndugu zangu, ni mimi tu naona kuna tatizo katika maagizo haya ya raisi au kweli kuna tatizo?
Akili ingekuwa ni kiungo cha uzazi, wewe ungekuwa huzai.. Hivi alikuwa kwenye ziara ya kichama au kiserikali..???
Wewe ulitaka ofisi ya CCM ikajengwe mbinguni?!
Huyu ndio rais wa kwanza wa Tanzania atakayekamatwa na kufungwa jelaKuna wakati najaribu kumwelewa raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya KIgamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo yafuatayo;
View attachment 1355040
Hebu niambieni ndugu zangu, ni mimi tu naona kuna tatizo katika maagizo haya ya raisi au kweli kuna tatizo?
Hahaha! I say wakisikia unasema hivyo, there is no way EVER, upinzani utakuja kushinda uchaguzi Tanzania. Wanajua wapinzan wakishinda tu kitu cha kwanza ni kubadilisha katiba na kuruhusu maraisi waliopita kufunguliwa mashitaka na kufikishwa mahakamani!Huyu ndio rais wa kwanza wa Tanzania atakayekamatwa na kufungwa jela
Mie sio shabiki, ila muunga mkono - kwa yale tu ambayo yana logic kama kulinda rasilimali zetu, miundo mbinu nk. Lakini hii crusade yake ya kuendesha nchi kama tunataka kuua vyama vya upinzani na viongozi wao ili tubaki na chama kimoja huwa sikubaliani nae hata kidogo!Mkuuu kwani ww ni nani kwa magufuli?
Magufuli atakamatwa hata na Rais wa ccm , ni bora aendelee tu na kampeni yake ya kutawala mileleHahaha! I say wakisikia unasema hivyo, there is no way EVER, upinzani utakuja kushinda uchaguzi Tanzania. Wanajua wapinzan wakishinda tu kitu cha kwanza ni kubadilisha katiba na kuruhusu maraisi waliopita kufunguliwa mashitaka na kufikishwa mahakamani!
Wote tulimsikia Rais Magufuli.....wewe kariri ya mleta mada!mada imeanza kwa "maagizo....kigamboni" sasa utasemaje katoa mfano?
Mkuu umenikumbusha mbali sana; somo la Kiswahili kuunda sentensi kwa kutumia Mifano, Nahau, Misemo ama Mipasho...ha ha haKama katoa mfano basi anapasa kujitafakari sana katika mifano anayotoa au jinsi anavyoiundia sentensi
Wewe ndio una tatizo!
Kuna ubaya gani ofisi ya CCM ikijengwa ndani ya hizo ekari 700?!
Wewe ndio mbwiga uliyetukuka!Wewe ni mpumba.vu. Mtoa mada anazungumzia wizara kurejesha ardhi kwa halmashauri ya wilaya. Maana yake hiyo ni ardhi ya serikali ya wilaya hiyo - kutaka CCM itumie ardhi hiyo kujenga ofisi zake ndio jambo lisilo sahihi!! Tutoke kwenye uchama twende kwenye kufanya mambo yenye faida kwa watu wote!