Mitanotena
Member
- Feb 17, 2021
- 16
- 12
Nakumbuka siku Rais anawaapisha mawaziri na makatibu wakuu alitoa maagizo mengi.Baadhi ya maagizo.
1. Waalimu 6000 waajiliwe mara moja ili kufanya mbadala walioacha kazi na kustahafu. Lakini mpaka sasa hakuna kinachofanyika waziri anaruka ruka tuu hajui lipi ashike na lipi aache.Naibu wake anaongea hivi waziri anaongea hivi Raisi anaongea hivi. Hatujui nani kamtuma mwenzake Rais au waziri.
2. Rais aliagiza vyombo vya habari vifunguliwe ikiwa pamoja vitivii vya viganjani.nTunapoongelea vyombo vya habari ni genera terms includes blogs,Radio, televisions, newspaper magazine and etc.Sasa Raisi akiendelea kutoa maagizo na walioko chini wanayatekeleza nusu au hawayatekelezi kabisa ni dalili mbaya kwa Kwa mama yetu.Anapoendelea kukaaa kimya itawajengea ujeuri na viburi watendaji aliowachagua na wananchi kuanza kuhisi ni bora aliyekuwepo kuliko aliopo.
3. Kesi za uhujumu Uchumi nakumbuka Rais alimuagiza DG wa takukuru kufuta kesi ambazo hazina ushahidi lakini mpaka leo hakuna kesi iliofutwa na watuhumiwa wanaendelea kusota rumande bila kushtakiwa. Mama yetu fanya reforms ya nguvu ndani ya mifumo yetu ya Selikali watendaji wengi wanadhani bado wako kwenye utawala wa ukandamizaji uliopita. Rais wetu fanya reform watu wanafanya kazi kwa mazoea.
4. Nakumbuka pia uliagiza waziri wa fedha na jopo lake kwenda kuangalia mifumo ya kodi yetu jinsi ilivyomingi na insvyo wabomoa walipaji nadhani mpk sasa hakuna kilichotekelezwa waziri mwigulu amebaki kutoa mipasho bungeni, Waelekeze mawaziri ni muda wa kufanya kazi na kuacha mipasho kwani haina tija kwa wanaowaongoza.
Hayo ni baadhi ya machache inaonekana mawaziri wako hawakukuelewa au wameamua kukugomea ili kukuharibia 2025
Kada mtiifu CCM daima.
Napalilia kaburi la mwendazake