Maajabu: Bibi anayeota pembe kama mbuzi

Maajabu: Bibi anayeota pembe kama mbuzi

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
408
Bibi huyu anaitwa Zhang Ruifang raia wa China mwenye umri wa miaka 101 ameota pembe moja kwenye paji lake la uso na nyingine inaanza kuchomoza upande mwingine.,angekuwa anaishi Bongo huyu hususani mikoa ya kanda ya ziwa si ajabu angekuwa amekwishauawa kwa kuhofiwa kuwa ni mchawi.

attachment.php
 

Attachments

  • Bibi mwenye pembe.jpg
    Bibi mwenye pembe.jpg
    46.6 KB · Views: 274
mmh hayo akifanyiwa operation yanatoka au umri nao!!
 
hata kucha nalo si la kawaida kwa binadamu! We chunguza kucha kwenye picha.
 
I will believe if it can be proven biologically?!

Hiki sio kitu cha kawaida, inawezekana imewekwa kisanii!

Fuvu la kichwa kutoa pembe za mbuzi?!

Bado haijaniingia akilini!
 
i will believe if it can be proven biologically?!

Hiki sio kitu cha kawaida, inawezekana imewekwa kisanii!

Fuvu la kichwa kutoa pembe za mbuzi?!

Bado haijaniingia akilini!

very true.
 
Back
Top Bottom