Maajabu..! Eti watanzania tujiandae KISAIKOLOJIA...!

Maajabu..! Eti watanzania tujiandae KISAIKOLOJIA...!

Mhe. AJAYE

Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
32
Reaction score
6
Ninakerwa na hii kauli "WATANZANIA TUJIANDAE KISAIKOLOJIA", kupitia majukwaa mbali2 kuhusu katiba, wapo baadh ya viongozi wa serikal na chama(hasa chama X) wamesikika wakitamka kauli hiyo ambayo inapelekea sintofahamu kwa kile kitakachotufanya tujiandae KISAIKOLOJIA! Nakuwa na mashaka sana na hii kauli, na pengne niwaulize wahusika, ni nani aliwambia watz hatuko sawa kisaikolojia..? kitu gan hicho kibaya/kizur kinachokuja cha mpaka tujiandae kisaikolojia..? pamoja na fedhea/dharau mliyoionyesha ya kudharau saikolojia yetu naomba nitoe angalizo hasa kwa wale mlioko pale bungen, neno WAZI au SIRI lisiwe kigezo cha sisi(watz) kupoteza pesa zao bure, na ninashangaa sana, ivi CHAMA vs TANZANIA kipi bora? chama X kingekuwepo bila kuwepo kwa TZ? Na nimeona wapo wabunge X, Y na Z aiza kwa kuw tu wamemaliza misimu yote mi2(2005-2010 na 2010-2015) bila kupata UWAZIRI wanafikri eti hii ndyo chance/nafasi ya wao kuonyesha UKADA wo kwa chama ili awamu ijayo waweze kupewa UWAZIRI, Tafadhali TANZANIA kwanza CHAMA badae..!
 
Back
Top Bottom