AminaMungu Ni Mwema Wakati Wote
Mungu hapangi kufaMipango ya Mungu
Mtazamo wako na kila mtu ana mtazamo na uelewa wake juu ya MunguMungu hapangi kufa
Huwa naamini tuna zaliwa katika mfumo ambao kila mtu huamua anachotaka na chochote kinaweza kutokea mda wowote....
Exactly shida yako ni nini hapo? Au ulitaka jamii ipate habari gani hasa hapo?Maisha kitendawili
Maajabu familia ya marehemu Francis Ogolla mkuu wa majeshi Kenya Leo anaagwa akiwa kafariki akiwa na miaka 62 baba yake Mzee Joel Ogolla Leo jumamosi anatimiza miaka 100 ya kuzaliwa Leo ni birthday yake na walipanga kufanya birthday kubwa Kwa ajili yake.Leo jumamosi imekuwa siku ya kuaga kitaifa mwanae mkuu wa Majeshi na siku ya birthday yake.Huyu anaagwa huzuni mzazi siku ya sherehe ya birthday yake