Maajabu haya ya Pasaka hii yamenitokea peke yangu au?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nimehudhuria Nyumba takribani Nne ( 4 ) kwa ' Maakuli ' lakini cha Kushangaza kwa mwaka huu ' Mapilau ' yote niliyoyapakuwa sijakuta hata ' Nyama ' na nikaja ' kubahatisha ' katika ' Pilau ' la mwisho na tena ' Nyama ' yenyewe moja tu.

Kama hii haitoshi katika Pasaka zote tukialikwa wakati wa Vyakula huwa kunakuwa kuna Watu wameandaliwa ' Kutupakulia ' Chakula ila safari hii kote huko nilikohudhuria unajipakulia mwenyewe Wapakuwaji hawapo ila ' Nyama ' ni za kutafuta sana huku ' Pilipili ' ya Kusagwa ikiwa ndiyo nyingi sana mezani.

Hii inaashiria nini?

Nawasilisha.
 
Ningepika ' Nyama ' ningehangaika kwenda Kudoea ' Maakuli ' ya wengine? Hivi kuna ' Mlalahoi ' aliyepika ' Nyama ' Pasaka hii?
Kwani, bucha lako ulilifunga mbona Nyama yako ni tamu.
 
Nami nilienda kwa mama ntilie kula ugali ile naagiza ugali nyama analeta ugali dagaa,anadai kakosa nyama siku hiyo saa nne tu asubuhi mabucha yote hakuna nyama
Hapo mawili, ng'ombe zilichinjwa chache ama wageni wengi sana sasa mjini
 
Mafisadi waliokuwa wanatoa wamebanwa sasa zimepungua
 
Nimehudhuria Nyumba takribani Nne ( 4 ) kwa ' Maakuli ' lakini cha Kushangaza kwa mwaka huu ' Mapilau ' yote niliyoyapakuwa sijakuta hata ' Nyama ' na nikaja ' kubahatisha ' katika ' Pilau ' la mwisho na tena ' Nyama ' yenyewe moja tu.

Kama hii haitoshi katika Pasaka zote tukialikwa wakati wa Vyakula huwa kunakuwa kuna Watu wameandaliwa ' Kutupakulia ' Chakula ila safari hii kote huko nilikohudhuria unajipakulia mwenyewe Wapakuwaji hawapo ila ' Nyama ' ni za kutafuta sana huku ' Pilipili ' ya Kusagwa ikiwa ndiyo nyingi sana mezani.

Hii inaashiria nini?

Nawasilisha.
juu
Watu wamekuwa vegetarians
 
Back
Top Bottom