Ipo hiv mkuu kale kastend kapya hapo Singida jiran na stendi ya zaman ambapo kana taa za sola mlikojengewa na Mhindi kwa pale Mombasa hakuna hata kavile, Au kale kastendi kachafu ka Msufini pale Mombasa hakuna.Mimi sijawahi kutoka nje ya mkoa wa singida kwa hiyo siwezi kusema mengi