Maajabu! Jiji la Mombasa halina stand ya bus

Nilitegemea humu ntaona hiyo stand ya Mombasa
Thread inatoa ushuhuda wa Maajabu ya Mombasa
 
Nilitegemea humu ntaona hiyo stand ya Mombasa
Thread inatoa ushuhuda wa Maajabu ya Mombasa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mwanza kuna bus stand 3 wao watuoneshe moja tu hatutaki nyingiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuwa serious...hiyo mwanza ndio unalinganisha na mombasa.
Vile ni kadogo..bila above 20 floors
 
Kuwa serious...hiyo mwanza ndio unalinganisha na mombasa.
Vile ni kadogo..bila above 20 floors
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ alafu ujiandae kisumu na arusha, nakuru na zanzibar, kericho na tanga
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hatoki mtu humu
 
hahahah! aisee bora wasiwe na stendi maana Mombasa Shekhe wangu waweza bashiwa mwanume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…