Maajabu! Jiji la Mombasa halina stand ya bus

hahahah! aisee bora wasiwe na stendi maana Mombasa Shekhe wangu waweza bashiwa mwanume
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yani hata city stage hawana hahahaha mm nawaambia hii ndio tanzania ya 2017 yani miaka 10 tu tumwechakarika kimya kimya
 
Ndio hata tz tulipofikia sasa hivi. Serikali ina pesa ambazo hazina faida yoyote kwa mwananchi wa kawaida hasa wa hali ya chini
 
Ndio hata tz tulipofikia sasa hivi. Serikali ina pesa ambazo hazina faida yoyote kwa mwananchi wa kawaida hasa wa hali ya chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…