Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Inasikitishasana!1. Mgombea urais wa ccm ni halali japo walivunja katiba yao.
2. Mgombea wa ACT ni batili amevunja katiba yao.
3. Mgombea wa chadema ni mhaini yuko jela.
4. Ccm mbele kwa mbele.
Tanzagiza 100%1. Mgombea urais wa CCM ni halali japo walivunja katiba yao.
2. Mgombea wa ACT ni batili amevunja katiba yao.
3. Mgombea wa chadema ni mhaini yuko jela.
4. CCM mbele kwa mbele.
Kwani si mmesema ACT ni project ya CCM!?Mgombea wa ... ni bubu, hana hoja wala uwezo wa kupiga kampeni ndio maana anawafunga na kuwawekea vizuizi wapinzani wake.
CcmMgombea wa ... ni bubu, hana hoja wala uwezo wa kupiga kampeni ndio maana anawafunga na kuwawekea vizuizi wapinzani wake.
usisahau mahakama takatifuCCM haiwezi kuruhusu tishio kwa utawala wao. Wamejifunza kwa Lowassa. Na Msajili ndiyo silaha yao kubwa hata kuzidi INEC.
Hebu tuwekee hapa namna gani walivunja katiba yao1. Mgombea urais wa CCM ni halali japo walivunja katiba yao.
Chadema waliteua mgombea?2. Mgombea wa ACT ni batili amevunja katiba yao.
3. Mgombea wa chadema ni mhaini yuko jela.
4. CCM mbele kwa mbele.
Kwani si mmesema ACT ni project ya CCM!?